Tuesday, 18 October 2011

KIPAIMARA CHA MWANANGU VALENTINE

Valentine Stambuli
Septemba 23, 2011 ilikuwa siku ya kipekee kwa mwanangu Valentine (mwenye kizibao na shati jekundu) ambapo alipata Kipaimara na kupitia hatua muhimu kiroho. Shukrani kwa wote mliojumuika nasi.

KARIBUNI SANA KWENYE BLOG YANGU

Karibuni kwenye Blog hii ya kijamii ambayo itakuwa inawajuza na kuwaelimisha kuhusu mambo mmbalimbali yanayohusu maisha na jamii kwa jumla.
Ni matumaini yangu kuwa mtakachokuwa mnakisoma kwenye blog hii kitakuwa ni chenye maslahi makubwa kwa wote. Kwa wenye michango ya mawazo na namna ya kuiboresha blog hii mnaweza kuwasiliana nami.
Ahsanteni sana.
Wenu katika teknolojia ya habari,
Elvan Stambuli
Elvan Stambuli.